Uniquegal
Member
- May 3, 2014
- 27
- 14
canter inauzwa 23000000 kwa mawasiliano piga number 0718888855View attachment 557681View attachment 557682View attachment 557683
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT
mkuu nikupatie 8m
kwa msaada wa picha hakika haina mfumo huo. tungeona chassis mbili na crane.Mrembo hii inauwezo wa kubinua mzigo na kuumwaga?
-Ndumilakuwili-
Ok asante kwa kunielewesha jombaa.kwa msaada wa picha hakika haina mfumo huo. tungeona chassis mbili na crane.
yaaah inaweza kubinuaMrembo hii inauwezo wa kubinua mzigo na kuumwaga?
-Ndumilakuwili-
tani tatu na nusuNi ya mwaka gani? Imetembea kilometers ngapi?. Na ina beba tani ngapi?
Asante, nilikuwa na interest na engine aina ya 4D33 au 4D35, asante
Mkuu kwani 4D35 ni engine imara ? Mbona baadhi ya mafundi wanasema zinamatatizo au una uzoefu nazo ?Asante, nilikuwa na interest na engine aina ya 4D33 au 4D35, asante
Mkuu kwani 4D35 ni engine imara ? Mbona baadhi ya mafundi wanasema zinamatatizo au una uzoefu nazo ?