Bei ni ndogo sana kwa bei ya kawaida labda ningeuza 3.5 milion unaweza uka-Google hiyo model.Na vilevile nimeilipia usafiri kutoka uingereza mpaka Bongo.Kwa yule mjuzi wa Camera hizi atajua kama ni camera nzuri ambazo hata huku uingereza wanazitumia sana ktk kazi za uandishi ama kwa kazi nyingine.Kwa milioni moja ndugu yangu haiwezi kulipa na bei niliyoweiweka ni rahisi sana ni bei ya haraka mkuu.