NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 10,004
- 21,311
Unatumia wa wabongo !kuna jamaa yupo mwanza so good!!Naunga mkono hoja hiki nilitumia sana sema tatizo lake kwenye kulipia tu nilishawahi kutapeliwa na wakongo
Nikupe namba zake!!?Maelezo hayajitoshelezi wakala
Kuna wakala wa mwanza n kigoma!Tunalipia wap?
Unanunua decoder au ni nini hasa? Ni official au hizi za ujanja wa kitaa? DSTV si ndiyo official broadcaster wa EPL kwa Bongo?Chanel zote za michezo hadi Uefa kwa 43000/= kwa lugha ya kifaransa ukitaka channel za kiingereza unaongeza ten inakua 53000/= unapata super sport epl 473 na na super sport Liga 473 kwa kiingereza!!
Wakati Dstv ukilipa compact ya 64000/= unacheki epl tu! Uefa hakuna!!na watakupa game zisizo na mvuto!!
Dstv tupa kule canal ndani ya nyumba!!
Hizi bei ni kwa wakala waliopo Tanzania pekee!!
Zama za Dstv kutunyonya zimeisha!!
Big up canal!!
160000/= pamoja na kifurushi cha 43000/= mwezi mzima!Wakala umesau kuweka bei ya dikoda
Zipo mkuuWana channel ya MotorSport?
Formula 1 na Motor GP?
Nipatie number zakeUnatumia wa wabongo !kuna jamaa yupo mwanza so good!!
Zote canal sport 1,2 nacheki hapa marudio ya euro 474 ssligaWana channel ya MotorSport?
Formula 1 na Motor GP?
Na dish lake n shingap160000/= pamoja na kifurushi cha 43000/= mwezi mzima!
Hamna man!mi nilinunua kwa msaada wa jamaa " The greatest of all time" anajiita humu!Hapa kuna mtu atalia sana muda sio mreeeefu
USSR
Nimetumia dish la AzamNa dish lake n shingap
Ukitumiwa nani anakufungia? Na kifurushi kikiisha unanunua mwenyewe tu au?160000/= pamoja na kifurushi cha 43000/= mwezi mzima!