ili niweze kukushauri
poa mkuu!achana nao hao ni matapeli,ukishajaza hiyo form ukituma watakuambia tuma kiasi fulani cha pesa kama gharama za kukutumia zawadi yako,endelea kuchat nao lakini usitume pesa halafu utaniambia imekuwaje kama itaenda tofauti na nilivyokuambia
habari wanajamvi!
nimetumiwa mail kutoka kwa jamaa hao wanadai wanajihusisha na lottery katika draw ilofanyika mail yangu imeshinda wameweka no zao pale(winning no.)hivo inabidi nijaza form na niwarudshie,kilichonishangaza email adress yao ni live.com na nyingine ni gmail.com, sijawaelewa hapo iweje kapuni itumie gmail na live na sio domain? isijekuwa ni akina OBINA(NIGERIA) wanataka kuniliza
naombeni kunielewesha hapa imekaaje au kama kuna mtu anaifahamu hii kampuni
natanguliza shukurani
matapeli hao,achana nao walinza kitambo mambo hayo na walishawaliza wengi
Ishia hapo hapo best, wez haooo, tena usilogwe ukatuma hata account no yako umekwishwa, hivi unafikiri nani anakupa hela ya bure siku hizi ambayo hujaifanyia kaz?????me nimeshatumiwa nyingi sana ila nikiiona hata huwa sisomi kwan nazidilete hapo hapo.