Kama mwezi wa sita hivi walitangaza kazi ya Officer mkoa wa Iringa kwa hakika vigezo vyote nilikuwa navyo ila mpaka sasa kimya! Vp kuna mwenye taarifa yeyote juu ya hawa jamaa.
Hahahaha, we jamaaa utaua wenzio. Wengine huspecify if u are not contacted two weeks after the deadline consider ur application unsucsessful ila hii ya only shortlisted candidates will be contacted watu wengi hatuielewagi cjui

Hahahaha nadhani hiyo ya kwako ya if u are not contacted two weeks after the deadline consider ur application unsucsessful ni nzuri maana haimpi mtu matension kama ya only shortlisted will be contacted maana unaweza ukawa unawaza eti bado hawajashortlist ila hiyo ya wiki mbili hujasikia elewa haumo ndiyo standard kusema ukweli