Nadhani FIFA hapa inabidi iingilie kati na hapa hata Timu ikifungiwa sidhani kama wanaweza kulalamika.., Hawa Algeria wana fujo sana nakumbuka pia kwenye world cup kuna goli walifunga ila inasemakana kabla ya goli kufungwa kipa alimulikwa na laser machoni (kitu ambacho kingeweza kufanya asieweze kuona vizuri