Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,176
- 2,941
Cameroon anaongoza 2-0Mkuu ngapingapi
Niliwacheki Mali aisee wana timu bora sana.Naangalia mechi hapa ya Cameroon vs Burundi ni ajabu kuona Cameroon akicheza kama underdog. Burundi wako kwenye kiwango bora sana, wanadefend vizuri na wanashambulia...
Simba kumbe onana kaitwa indomitable lions hamsemi!!Naangalia mechi hapa ya Cameroon vs Burundi ni ajabu kuona Cameroon akicheza kama underdog. Burundi wako kwenye kiwango bora sana...
Hahaha unazingua we jamaa...Onana kipa la Dunia sio Onana wa Simba[emoji28][emoji28][emoji28]Simba kumbe onana kaitwa indomitable lions hamsemi!!
Andre Onana kipa la Dunia# Man UnitedKwani huyo Onana anachezea timu gani?
Hakuna kocha pale, timu ina wachezaji wazuri ila kiwango duni kabisa. Burundi wamefungwa kizembe kabisa. Kama Cameroon ndio uchezaji wao huo kuvuka makundi tu hawatowezaNaangalia mechi hapa ya Cameroon vs Burundi ni ajabu kuona Cameroon akicheza kama underdog. Burundi wako kwenye kiwango bora sana, wanadefend vizuri na wanashambulia kwa kushtukiza kupitia kwa mshambuliaji wao hatari Caleb.
Kama Cameroon ataenda hivi AFCON ijayo sidhani kama watavuka hatua ya makundi na sio ajabu hadi leo hajaqualify akitegemea draw au ushindi ili apite.
Samuel Etoo anaendesha mpira wa Cameroon kishkaji sana. Anamwonea aibu Regobert Song. Song anatakiwa kutimuliwa mara moja.
Timu inacheza ovyo sana, iko uwanja wa nyumbani lakini wachezaji wanacheza kwa wasiwasi hawajatulia, hawajiamini. Kama sio ubora wa Onana muda huu Burundi angekua mbele kwa goli zisizopungua 3
Sio kwa ubovu kama huu, beki itakuwa alibetWakati Cameroon wanabeba Afcon mwaka ule mnajua kama walikuwa na kiwango kama hiki? Yaani waliqualify kimazabe mazabe hivi hivi hadi kuweka kombe kwenye begi?
Hivi Eto'o naye mbona anafeli hivyo? Mi niliamini kwa CV kubwa aliyonayo Eto'o angeweza kuinua sana soka la Cameroon, ila imekuwa ndivyo sivyo.Frank zambo anguissa, anachafua dimba sana pale Napoli.
Ukiongeza na Karl toko ekambi wa lyon ni hatari nyingine.
Mbele unamkuta veterani Eric choup moting..huyu ndie aliyemkimbiza sadio mane Bayern Munich.
Tatizo LA Cameroon ni etoo kuingilia tactical issues kwny timu ya taifa.
Makameruni ni mazuri mno.
Wachezaji wanao sana tu ila tatizo kocha, sielewi Rigobert Song alikuaje kocha wa timu ya taifa ya CameroonYule jamaa wanamuita toko ekambi ukimuangalia kama mwanaapolo vile wa kule Arusha, unaweza dhania hana afya nzuri...still wana wachezaji wazuri tu.
Nakuelewa lakini ushawachungulia Nigeria the Super Eagles?! Hawa jamaa labda kocha tu ashindwe kupanga kikosiFrank zambo anguissa, anachafua dimba sana pale Napoli.
Ukiongeza na Karl toko ekambi wa lyon ni hatari nyingine.
Mbele unamkuta veterani Eric choup moting..huyu ndie aliyemkimbiza sadio mane Bayern Munich.
Tatizo LA Cameroon ni etoo kuingilia tactical issues kwny timu ya taifa.
Makameruni ni mazuri mno.