Camera inahitajika

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
Habari wakuu.

Kama kuna mtu anauza video camera Cannon 550D. Mwenye nayo ani-pm.
 
Habari wakuu.

Kama kuna mtu anauza video camera Cannon 550D. Mwenye nayo ani-pm.

Kuna simu inaitwa Samsung galaxy s5 haikubali simcard unaweza kutumia kama camera ya uhakika. Nipe laki 3. Ni mpya.
Call 0779420000
 
Kuna simu inaitwa Samsung galaxy s5 haikubali simcard unaweza kutumia kama camera ya uhakika. Nipe laki 3. Ni mpya.
Call 0779420000

Mkuu, inaelekea wewe si mjuzi sana katika mambo ya camera.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…