It was just my question ,you were to answer it and not adding a question on a question
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia hii camera ni nzuri kwa film making. Mwenye Ushuhuda atuambieINAUZWA
Canon 6D
Condition | used like New
Location | ubungo
*Haijawahi kutumika*
Bei milioni 2.5
View attachment 985881View attachment 985882View attachment 985883View attachment 985884
Sent using Jamii Forums mobile app
Used like new " haijawahi kutumika" hapa sijaelewaINAUZWA
Canon 6D
Condition | used like New
Location | ubungo
*Haijawahi kutumika*
Bei milioni 2.5
View attachment 985881View attachment 985882View attachment 985883View attachment 985884
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nipe ubora wa hii CamKwa wanaojua Camera hiyo ni bei chee hizi huwa zinauzwa mpaka USD 2500+ sio za kupigia selfie, hiyo ni kama camera ni kitendea kazi chako kinachokuingizia kipato cha kila siku
Mkuu hizo ndio jamii ya zile wanaita DSLR natumaini utakuwa unazifahamu lakini navyosikia sensor yake in uwezo mkubwa wa kukamata picha katika hali mbali mbali (gizani mpaka mchana), inategemea ni lens gani uliyonayo na hizi unaweza kufanya mabadiliko ya lens lakini kiufupi ukiwa na lens nzuri unaweza kufanya zoom umbali mrefu sana bila kupoteza quality ya picha. Kuna mtu aliwahi kuniagizia lens ya Camera kama hii kwa euro 500 (binafsi sikuelewa kwa nini alitoa hela yote mpaka siku nilivyoona picha alizopiga).Mkuu nipe ubora wa hii Cam
Ipo hadi mark 4 mkuuVizuri brooo. Mm huwa napenda sana Filming. Napenda kama hobby. Nipo tayari hata ni nunue hii nifanye vitu vyangu.
Pia nimeona hizi camera kama kuna Mark I na mark II hizi zipo vip??
Hii ni nzuri zaidi hata ya 60D mkuu, naitamani sana ila vyuma tatizo mkuuINAUZWA
Canon 6D
Condition | used like New
Location | ubungo
*Haijawahi kutumika*
Bei milioni 2.5
View attachment 985881View attachment 985882View attachment 985883View attachment 985884
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeee Kama Colola eee