kwa kweli sijawaelewa hawa ndugu zetu wamezingatia vigezo gani kuwapitisha watu kwenye interview baada ya aptitude test kwani kama wangekuwa wamezingatia ufaulu wa marks za juu hakika wengi wa hao walioitwa wasingepita mfano mzur mimi nimepata marks 65.5 sijaitwa kwenye interview yao ila kuna watu kibao wamepata alama 50 wameitwa kwenye interview labda wadau kwa mwenye ufaham atujuze sijawaelewa mimi hawa jamaa kabisa....nimejaribu kuattach na matokeo ya aptitude test na walioitwa kwenye interview ili tueleweshane vizur zaid jamaaani

poa mkuu nimekupata ..asante kwa ufafanuz mzuraptitude test huwa ni kupima iq za watu.sasa huwa wana passmark kulingana na career.engineer anatarajiwa kuwa na iq kubwa zaidi ya labda dereva au lawyer.ndo maana unaweza kuwa na marks kubwa katika kategori moja ila ucpofikia minimum ya hiyo kategori watakuacha tu.na kategori zingine wanaweza chukua hadi mwenye hamsini...huo ndo utaratibu fair wa kuchuja watu wengi.unaweza pia kugoogle za meaning of aptitude test.