Wadau salama,poleni na majukumu....!!!
Kuna post za TRASACCOS zilitoka kwa website yao na watu wakomba,akiwemo mdogo wangu...sasa wameanza kuita
kwaInterview,
Sasa naomba
Mwenye Taarifa za Glossy salary ya Assistant credit officer na pia Maswali ya usahili yakoje plsea naomba
aniupdate..............
Nawasilisha...!!