Wadau habari.?nimepigiwa simu kuitwa kwenye usahili HR SOLUTION,nafasi ya Senior Administrative Officer.
Tafadhari naomba details ya hii company na status yake in payment/compensation and other social welbeing.
Na je hawa ni mawakala kama walivo Deloitte au?na kila nikipekuwa kwenye orodha ya company nilizoomba hakuna HR solution ,kidogo imeni confuse.