Cosmasjulius
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 695
- 1,024
Kha kha kha sitasahau izi calculater uwa zinalipuka sana nimekoma kuzitumia uwa natumia zile nyingine.
Haa ha haya bhnaKha kha kha sitasahau izi calculater uwa zinalipuka sana nimekoma kuzitumia uwa natumia zile nyingine.
.
.
.
Note: I'm not serious nafanya joking tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila kitu lazima Uchangie...Inawezekana hata Hujawahi tumia scientific calculator...!!
Letaa pesa wew acha maneno ya kibwabwa...Njaa kitu kibay sana,,,,
Niachie mzigo huo dogo atumie..