Bajeti inayomalizika mwaka 2018/19 wizara ya viwanda ilitengewa Bilioni 90 kwa ajili ya Maendeleo ya viwanda..
Lakini pesa iloyotolewa na serikali mpaka sasa ni Bilioni 5.4 tu Sawa Na Asilimia Sita (6%), yaani bilioni 90, mwaka unakwisha wametoa bilioni 5.4 tu..
Tuko serious na viwanda kweli? Au ndo vyerehani....