CAG kaficha ripoti za TANESCO na NHC?

Labda anaogopa kama kweli amefanya hivyo basi hajatundea haki wahasibu na wakaguzi na taifa lake.
 
kutokana na weledi wa huyu mzee siamini kama kweli kaficha hizo ripoti

mmejaribu kwenye tovuti ya National Audit?
 
kutokana na weledi wa huyu mzee siamini kama kweli kaficha hizo ripoti

mmejaribu kwenye tovuti ya National Audit?

Tatizo la hawa watu ni kwa sababu CAG ni mkristo safi ndio maana hawaishi kumuandama. Namfaham vizuri sa huyu mzee na familia yake na nasikitika na hizi tabia za baadhi ya members kumuandama kila msimu wa kutoa hizi reports

Cha ajabu mleta mada ameamua kuwaandama wakuu waliopo Tanesco na NHC lakini akasahau sehem zingine.

wana Jamiiforums acheni wivu usio na maana.

Mzee Ludo piga kazi usiwasikilize hawa wauza sumu wa Jamii forums ambao wako driven na chuki binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…