Hawa yeboyebo si wanajifanya manunda kutulingia kila siku eti wakimataifa, sasa na sisi tutawaonesha kuwa ni watoto wa mjini kitambo, unapiga uzi wa yeboyebo unaanzisha varangati la uongo na kweli ili CAF wapate kaclip ka kuwadelete watu afu tukutane mchangani. Tuone sasa hizo ndege mtapandia wapi!!!!!!! Hahahahahhahhaha siko serious sana.
Kwa hiyo Urusi iko CaF au?Wamewaonea tu..mbona urussi hawakutolewa, CAF inajifanya ipo makini kumbe hawana lolote.
Tupo pamoja mi nitajitolea kununua yale mafataki,zile nyondo za Jerry Murro Nadhani hii ndio dawa yake,naanza kufanya maandalizi sasaHawa yeboyebo si wanajifanya manunda kutulingia kila siku eti wakimataifa, sasa na sisi tutawaonesha kuwa ni watoto wa mjini kitambo, unapiga uzi wa yeboyebo unaanzisha varangati la uongo na kweli ili CAF wapate kaclip ka kuwadelete watu afu tukutane mchangani. Tuone sasa hizo ndege mtapandia wapi!!!!!!! Hahahahahhahhaha siko serious sana.
Kwa hiyo Urusi iko CaF au?
OkMkuu hujaelewa nilichoandika...nasema hivi..wamewaonea hao el setif,,,,,,,,,why urussi au england hawakutolewa kwenye michuano hiyo ya uefa euro??