Jamani acheni aende popote huyu mtoto anafaa sn, sijaona MP mwenye mipango yakaribu km huyu mtt, kweli heshima ya manyuzi naamini ataiweka mbele, mm si mpenzi wa CCM ila mtu afanyavyo vizuri lazima tumpe hongera.
Sijaona MP hata mmoja wa CCM ambaye yuko tayari kukataa Lunch box ya 1m na kuwaambia wenzake, kama mwenyekiti hakuwa tayari kupokea 1m km lunch kwani ni hongo, kunachakula gani cha sh. mil. 1, anastahili hata akiwa FM namfagilia sana, naamini nchi itabadilika, wacheni vijana wachukue usukani kwenye jahazi linaloyumba watawasaidia wazee kufika mahali palipokutegemewa.
UPOPOJanuary Makamba mmmm another Makamba hii ni Sawa!
January Makamba mmmm another Makamba hii ni Sawa!
Siwezi kushangaa hilo kwani mwanzoni baada ya uchaguzi miye nilitegemea JM aende Foreign kwa sababu zangu binafsi; kwa hiyo hata kupelekwa huko kwa CCM nadhani ni part ya kitu kile kile. Lakini itakuwa ni aibu kufanya mabadiliko ya baraza la mawaziri hata mwaka haujapita..
Kuhusu J Makamba sikubaliani na wanaomsifia,bado nammweka kwenye kundi la watu ambao misimamo yao haieleweki
vipi januari lile bifu lake na bibi mmoja wa marekani limeishia wapi?Kuteuliwa kwa January Makamba kuongoza Idara ya Mambo ya Nje ya CCM kunaashiria mabadiliko ya haraka ya Baraza la Mawaziri, ambapo Januari atachukua nafasi ya Waziri wa Mambo ya Nje. Hii ni kwa sababu mbili:
-Waziri wa Mambo ya kawaida ndiye Mkuu wa Idara hii ya CCM
-Membe ameondolewa katika idara hii na pia hayumo hata katika Kamati Kuu.
vipi januari lile bifu lake na bibi mmoja wa marekani limeishia wapi?
Kuteuliwa kwa January Makamba kuongoza Idara ya Mambo ya Nje ya CCM kunaashiria mabadiliko ya haraka ya Baraza la Mawaziri, ambapo Januari atachukua nafasi ya Waziri wa Mambo ya Nje. Hii ni kwa sababu mbili:
-Waziri wa Mambo ya kawaida ndiye Mkuu wa Idara hii ya CCM
-Membe ameondolewa katika idara hii na pia hayumo hata katika Kamati Kuu.
Je alivyokuwa anaipigia debe DOWANS ulijiuliza kama ile ilikuwa hali ya kawaida au alikuwa na msukumo fulan?
Chunguza njomba utabaini...!