Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Jamaa ameteleza.We jamaa ndiyo hufai kuleta uzi kama huu.
Hivi unasemaje kuwa hakufaa ???
Wakati mnasema cv zaidi ya makocha 50 mlipokea mkaibukia kwa da rosa
Kwani darosa alilazimisha kufundisha simba mseme ninyi mliompokea na kumwajiri hamfai kuwa viongozi wa simba
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Keep your stats for yourself, off he goes. Hasta la vista.Unafiki mbaya sana. Nina maswali kadhaa ya kukuuliza
Je kama Gomez alikuwa mbaya ilikuwaje Simba ikafika robo fainali msimu uliopita?
..
ilikuwaje akatwaa kocha bora kwa ligi iliyoisha?
Je una takwimu yoyote ya idadi za mechi alizoongoza Gomez kama kocha mkuu; alizoshinda kufungwa na kutoa sare?
.
VACANCY: Geita Gold needs french speaking coach. Sitting at the technical bench O.k.Unajua unachoongea....
Na inawezekana hata mpira wenyewe huufahamu bwana marioo.
Mpira una wenyewe bwana Marioo...VACANCY: Geita Gold needs french speaking coach. Sitting at the technical bench O.k.
Tulianza kupenda timu kabla ya mpiraSikukubaliana na wewe katika mambo haya.
1. Kuwagawa wachezaji katika makundi mawili yaani hawa ni wa benchi la kudumu na wengine wanacheza mechi zote bila mapumziko na hovyo kuwafanya wachezaji hao kuwa ma-God father hapo kwenye club.
2. Kutaka kuanza kuingiza chembe chembe za u-franco fone hapo kwenye club.
3. Huna credentials za kuwa cocha wa timu kama Simba. Kukaa jukwaani ni kichekesho.
4. Kuwatesa wachezaji kisailkoogia kama Ajibu, Mkude, Gadiel Michael, Kagere na wengineo.
5. Kutofanya sub kwa wakati muafaka na hasa kwa hao ma-God father ambao dalili zote zinaonyesha kuwa wamechoka
6. Kuuwa vipaji vya wachezaji wa ndani kwa kuwanyima game time.
7. Kushindwa kusoma matakwa ya mchezo na hivyo kupelekea kupoteza mchezo.
It's a high time now you go back to school for your credentials. I will just miss you a bit.