GE2025 Bwege: Mpina alikosea kujiunga na chama chenye walakini, ACT kuna shida na uzembe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Wakuu

Bwege anaendelea kupiga kichwani anaeleza kuwa Mpina anapambania haki lakini alikosea kujiuna na ACT wazalendo na akasisitiza chama hiko kina shida haiwezekani mara ya pili mfululizo kinakosa mgombea wa Urais ni uzembe.

"Ni kweli kabisa Mpina anataka haki lakini kapotea kuingia kwenye chama ambacho kina walakini. Chama (ACT) kina shida, haiwezekani chama kikuu cha tatu kwa ukubwa Tanzania mwaka wa pili tukose mgombea wa Urais wewe huoni kuna uzembe hapo?" - Selemani bungala (Bwege)
Your browser is not able to display this video.
 
aliyoyasema bwege ni kweli kabisa ...mpina angetulia kwanza,miaka mitano sio mingi angepita kwa kisahindo tu...kakurupuka kwenda kwa zitto
 
hukumu kutoka tarehe 29/9/2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…