Afisa Mteule Drj 2 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 3,961 Reaction score 4,663 Sep 20, 2017 #21 Nimekuteua kuwa waziri wa njaa, shibe Na huduma za vyoo uteuzi huu utaanza mara tu utakapobanwa na haja kubwa
Nimekuteua kuwa waziri wa njaa, shibe Na huduma za vyoo uteuzi huu utaanza mara tu utakapobanwa na haja kubwa
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,554 Reaction score 9,381 Sep 20, 2017 #22 donlucchese said: View attachment 591792 Click to expand... Hiki ni chakula cha mgonjwa?, hivi kweli kuna mtu anashiba chakula kama hicho?
donlucchese said: View attachment 591792 Click to expand... Hiki ni chakula cha mgonjwa?, hivi kweli kuna mtu anashiba chakula kama hicho?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,654 Sep 20, 2017 #23 Sawa bwana misosi
ngosha wa mwanza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 5,075 Reaction score 15,917 Sep 20, 2017 #24 Planett said: Kuwa msukuma ni kama disability fulani hivi, sio kitu cha kujivunia mkuu. Click to expand... pambana na hali yako mkuu tuache na kabila letu
Planett said: Kuwa msukuma ni kama disability fulani hivi, sio kitu cha kujivunia mkuu. Click to expand... pambana na hali yako mkuu tuache na kabila letu
nyanimzungu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2017 Posts 1,204 Reaction score 937 Sep 20, 2017 #25 Huo ni msosi ka msosi yaani mimi hapo unanitania huwezi nitengea wali tonge moja mkuu utaniua na njaa
Huo ni msosi ka msosi yaani mimi hapo unanitania huwezi nitengea wali tonge moja mkuu utaniua na njaa