Hahaha heshima yako kiongozi moja ya watu nawakubali sana hapa jukwaani2016 ni wa aina yake tangu tupate Uhuru!
Huku Tumepigwa Biti tusizungumzie issue ya Faru John wakati wao ndio wametujulisha kupotea kwake na huku kwa Watani wanatupiga Biti tusiongelee la Kupotea kwa Ben Saanane eti atauawa wakati ni wao ndio walitujulisha kupotea kwake!
Inawezekana Faru John alikuwa Mzima amefichwa lakin tulipoanza kuzungumzia Issue yake ndo waliomteka Wakaamua kumuua kabisa ndo sababu na Kamanda wa Anga
Akatupa ushauri ule Muhimu kuhusu Kamanda Ben!!
Bwana yule kwa mwaka mmoja amewatumbua watumishi 300.
Lakini wakulima hadi dakika hii, wengi wao wamekopesha. Baba yangu Mzazi amepima korosho zake November had leo hajapata pesa. Hela ya xmass na mwaka Mpya nimemtumia, wakati si kawaida tangu tupate Uhuru.Ongeza na hii, tangu zao la korosho kuanza kulimwa.......halikuwahi kua na thamani km 2016.
Ungeanza na ZERO1,2,3,4,5,6,7,8,9...............
Tunataka za kirumi sasa1,2,3,4,5,6,7,8,9...............