respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,844
Asante sana mwalimu wangu respect wa boda. Kuhusu hamasa ya mabadiliko kijijini wangu ipo juu sana ndio maana magamba tumeyatokomeza kusikojulikana. Kwa kijiji hichi hata kama kwa siku watandikisha watu2,hakuna mwanakijiji atakaevunjika moyo na kurudi nyumbani Bali ndipo watapozidi kujazana vituoni pamoja na watoto wao. Watapikia hapo hapo vituoni na kulala hapo hapo vituoni. HII NDIO UKEREWE BHANA HATA PIUS MSEKWA ANALIJUA HILO. By the way kamanda wangu Jana nilikuPM kama ulivyonifahamisha lakini naona haukunijibu.
Inahitaji miaka ishirini kuandikisha watanzania wote
Kasindogo ya uandikishaji imesababisha wananchi wa wilaya tunduru kulala vituoni kusubiri kupata vitambulisho,kituo kinachoongoza watu kukesha shule ya msingi muungano kwa zaidi ya siku 3 mfululizo,kituo cha stend ya mabasi(tarafani),nakayaya mashariki (cdc).baadhi ya vituo kwa siku wastani uandikishaji ndani siku 3ni chini ya40.na kila kituo kina wapiga kura zaidi 2000.siku za kujiandikisha 7.sijui kama tutafika