Habari wadau,
kama heading inavyojieleza ni kuwa natafuta mtu serious, narudia tena mtu seriuos wa kufanya nae partnership kwenye biashara ya Usafi wa maofisini na food products packeging. Tayari nimeshafungua kampuni Brela, nina TIN isipokua tu leseni, ipo katika mchakato. Nina vifaa vyote vinavyohitajika kwa ajiri ya biashara ya usafi kwa 90%, nina sample ya some packed products I can share it via PM kwa mtu ambae yuko serious na interested na pia gari kwa ajiri ya kusimamia operations za hy biashara ipo. What is basically missing, ni tenders/kazi, na some little of start up capital, sbb naamini kwenye kuanza hata kama utapata tender, itahitajika funds ili ku take care of some issues, however we can discuss this in detail incase mtu atakuwa interested, sababu so far sy issue kivile, pia ninao vijana standby kwa ajiri ya kazi hy ya usafi. Najua kuna mtu anaweza jiuliza kwann usifanye mwenyewe au ufanye na mru wa karibu yako, well, jibu ni kuwa kichwa kimoja pekee hajiwezi barikiwa kuwa na ujuzi wa kufanya kwa ufanisi kila kitu, so naamini ktk hii partnership ninaweza pata mawazo mapya ambayo yataweza kuisaidia biashara isonge mbele in one way or the other na pengine hata kupata mawazo mengine mazuri ya kibiashara. So kwa atakaevutiwa na hili naomba ani PM na atume tu japo a short write up why I should go with him/her......
Angalizo, don't waste ur time try to hoax, sababu you will end up embarrassing yourself katika jukwaa hili.
Asante!
Boss Nakuja PM,Habari wadau,

N wazo zuri mkuu kila LA kheriUmejieleza vizuri sana, hakika wewe ni mfanyabiashara. Naamini umeshapata tayari
Siyo lazima atokee Dar, tena kama upo mkoani hasa mikoa kama Dodoma, Mwanza, Arusha na hata Mbeya kuna uwezekano tukafungua branch na kutoa huduma sehemu hizo. Utawezaje manage mapato na matumizi ya kampuni? Well, tutaweka kila kitu kwenye paperwork, tutachagua operation officer ambae atakuwa anareport kwetu sisi pmj na kusimamia shughuli zote za kampuni...so huyu atakua neutral, atasimamia mapato na matumizi ya kampuni. Kuhusu shares itategemea wewe unatoa kitu gani....ila for more detailed info..ni pm tuyajengeHongera seems interesting. Je huyo partner lazima atokee Dar? Ikiwa ndo biashara inaanza kama yuko mbali atawezaje na yeye ku monitor mapata na biashara inavyokwenda??
Shares ni % ngapi kwa ngapi? Meaning yeye atakua na asilimia ngapi ktk kampuni?