muuza ubuyu JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 3,543 Reaction score 3,604 Jul 7, 2014 #1 Jamani, biashara ya ubuyu inaenda vibaya, nimeamua kufanya diversification na kuanza kuuza kahawa, karibuni mniunge mkono waungwana!!
Jamani, biashara ya ubuyu inaenda vibaya, nimeamua kufanya diversification na kuanza kuuza kahawa, karibuni mniunge mkono waungwana!!
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,494 Reaction score 100,903 Jul 7, 2014 #2 Sasa akipata demu faster faster inakuaje? Nimeuliza tu usininukuu vibaya
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,575 Jul 7, 2014 #3 Elli said: Sasa akipata demu faster faster inakuaje? Nimeuliza tu usininukuu vibaya Click to expand... Flaiz ina zipu ya begi unaweza fungua mpaka ukatoka na vipande viwili
Elli said: Sasa akipata demu faster faster inakuaje? Nimeuliza tu usininukuu vibaya Click to expand... Flaiz ina zipu ya begi unaweza fungua mpaka ukatoka na vipande viwili
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jul 7, 2014 #4 Kama amevaa kkhanga style