Jamani ccm imechoka tokea enzi za tanu hadi leo. Mbona haujanukuu zile alizosema cheo cha mkuu wa mkoa na Wilaya ni matumizi mabovu alafu alipopewa akakubali . Mimi pole pole namchukulia kama mtu mnafiki wa kiwango cha juu.
Hakuna chama kwenye sura hii ya dunia kitatawala milele hata kama sio 2020 unachopaswa kujua ni kuwa iko siku CCM hakitaweza kuunda serikali na nwisho huo uko jirani kuliko wewe unavyojiaminisha
Fisi na Nguruwe wanatabia zinazofanana ..Kula mizoga na chochote anachokiona ....basi kuna watu wao kila kitu nikushangiria kama walivyo Nguruwe na fisi