Busara hapo Mbeya ifanyike nusu mkate kwa sababu Sugu na Dkt. Tulia PhD ni kama Ishmael na Isaka wote wana Baraka!

Kwa hiyo imefika pahala nchi inamegwa kwa style hiyo au sio? Last time i checked tulikubaliana jimbo litaongozwa na atakayeshinda uchaguzi sasa hii ya kumegeana jimbo ili ushindi wa mezani upatikane imeanza lini tena?
 
Matunda ya Maridhiano
 
Nusu mkate ifanyike kupeleka muhuni SUGU?
Huyo SUGU aendelee kuimba na kusimamia hotel yake tu
 
WACHA UPUUZI WAKO, HAWAKO SAWA. MMOJA NI MWIZI WA KURA MWINGINE NI MBUNGE WA HERI YA WATU1
 
Mbeya ipi hiyo unayoizungumzia wewe? Umeona namna Dr Tulia alivyopokelewa kwa kishindo wiki iliyopita? Umeona namna Dr Tulia anavyokubalika na kuungwa mkono kila sehemu akienda?

Dr Tulia ataenda jimbp jipya la Mbalizi
Hawezi mshinda Sugu 2025
 
Mbeya ya kwenu Mbozi labda!
Hii Mbeya mjini tunayo ijua hawezi shinda Dr Tulia
 
Kama watu wa Mbeya wanatafuta mwakilishi basi Tulia amemuacha mbali sana Sugu katika kazi hiyo. Lakini kiushabiki Sugu yuko juu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…