Bus zuri Dar - Dodoma

Mazingira

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2009
Posts
1,833
Reaction score
306
Wakuu natarajia kusafiri kutoka DAR kwenda Dodoma. Bus gani zuri na nauli ikoje? Kwa wenyeje wa Dodoma, hoteli gani nzuri yenye bei za kuanzia 20,000 - 30,000? Natanguliza shukrani zangu.
 
Shabiby bus sh.40000/= na wengine nauli nivkati ya 15000-22000
 
Wakuu natarajia kusafiri kutoka DAR kwenda Dodoma. Bus gani zuri na nauli ikoje? Kwa wenyeje wa Dodoma, hoteli gani nzuri yenye bei za kuanzia 20,000 - 30,000? Natanguliza shukrani zangu.

Mkuu kwa upande wa Basi kweli sijui....lakini upande wa Hotel lala ile aliyolala Cashier wa MANJI......
 
Ziko gari ndogo maarufu IT nenda petrol station ubungo mataa.nauli thirty tu.
 
Panda kimbinyiko int coach bei kuna ya 22000 na 28000 kuna huduma ya wifi na soda plus biskuti/keki. Kwa dar safari ipo saa 12 ash,2 ash,3 ash,5 ash na 7 mchn. Shabby nayo ni nzuri,ABC pia nzuri. Kazi kwaki
 
Panda kimbinyiko or shabibi hotel lala veta hotel or morena hotel. Kama unataka hotel ya nje ya mji nenda four points hotel
 
Panda kimbinyiko or shabibi hotel lala veta hotel or morena hotel. Kama unataka hotel ya nje ya mji nenda four points hotel

Hayo mawili ndo the best mkuu? bei zao unazifahamu? Veta hotel ni bei gani? Four poinys hotel unafahamu bei zao?
 
Machame nauli 18000 hutonilaumu, wanajali wateja wanawaheshimu na kuwapenda kwao mteja ni mfalme, kuna la saa mbili na nusu pia la saa nne ukikosa labda panda kimbinyiko au ABC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…