Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,863 Reaction score 830 Mar 11, 2017 #1 Bus la Allys limepata ajali mbaya baada ya kugongana na Lori la Azam maeneo ya Misungwi. Lilikuwa likitokea Mwanza Tabora. Hakuna aliyefariki katika ajali hiyo.
Bus la Allys limepata ajali mbaya baada ya kugongana na Lori la Azam maeneo ya Misungwi. Lilikuwa likitokea Mwanza Tabora. Hakuna aliyefariki katika ajali hiyo.
Maguge Maguge JF-Expert Member Joined Sep 1, 2016 Posts 2,734 Reaction score 1,780 Mar 11, 2017 #3 pole zao abiria
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,368 Mar 11, 2017 #4 Poleni kwa ajali, Misungwi sehemu gani, Koromije?
Muyobhyo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 8,149 Reaction score 6,552 Mar 11, 2017 #5 Kituko said: Poleni kwa ajali, Misungwi sehemu gani, Koromije? Click to expand... jamani hii koromije duu
Kituko said: Poleni kwa ajali, Misungwi sehemu gani, Koromije? Click to expand... jamani hii koromije duu
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,369 Reaction score 27,786 Mar 11, 2017 #6 Poleni sana
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,555 Reaction score 17,949 Mar 11, 2017 #7 Kumbe bado yapo? Nakumbuka kipindi barabara kipande cha manyoni bado vumbi mwaka 2008 jamaa alifika morogoro saa 11 toka mwanza..
Kumbe bado yapo? Nakumbuka kipindi barabara kipande cha manyoni bado vumbi mwaka 2008 jamaa alifika morogoro saa 11 toka mwanza..
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,863 Reaction score 830 Mar 11, 2017 Thread starter #8 Kituko said: Poleni kwa ajali, Misungwi sehemu gani, Koromije? Click to expand... kaka hamjasikia muache kuitaja koromije, shauri yako utakumbana na sheria
Kituko said: Poleni kwa ajali, Misungwi sehemu gani, Koromije? Click to expand... kaka hamjasikia muache kuitaja koromije, shauri yako utakumbana na sheria
Sexer JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 8,505 Reaction score 8,256 Mar 11, 2017 #9 Ilisolokobwe said: kaka hamjasikia muache kuitaja koromije, shauri yako utakumbana na sheria Click to expand... sheria ya nchi ipi? iliyotungwa na bunge lipi?
Ilisolokobwe said: kaka hamjasikia muache kuitaja koromije, shauri yako utakumbana na sheria Click to expand... sheria ya nchi ipi? iliyotungwa na bunge lipi?
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,368 Mar 11, 2017 #11 Ilisolokobwe said: kaka hamjasikia muache kuitaja koromije, shauri yako utakumbana na sheria Click to expand... Kaka Koromije ni eneo lililopo misungwi na hiyo ajali imetoa Misungwi ndio nikauliza ni eneo gani la Misungwi, Koromije?
Ilisolokobwe said: kaka hamjasikia muache kuitaja koromije, shauri yako utakumbana na sheria Click to expand... Kaka Koromije ni eneo lililopo misungwi na hiyo ajali imetoa Misungwi ndio nikauliza ni eneo gani la Misungwi, Koromije?
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,863 Reaction score 830 Mar 11, 2017 Thread starter #12 Kituko said: Kaka Koromije ni eneo lililopo misungwi na hiyo ajali imetoa Misungwi ndio nikauliza ni eneo gani la Misungwi, Koromije? Click to expand... nikadhani unaleta habari za bashite wa koromije
Kituko said: Kaka Koromije ni eneo lililopo misungwi na hiyo ajali imetoa Misungwi ndio nikauliza ni eneo gani la Misungwi, Koromije? Click to expand... nikadhani unaleta habari za bashite wa koromije
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,379 Reaction score 21,718 Mar 11, 2017 #13 Maskini.
Bahimba JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 510 Reaction score 346 Mar 11, 2017 #15 Kituko said: Poleni kwa ajali, Misungwi sehemu gani, Koromije? Click to expand... Kwa mbele kidogo
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,848 Mar 11, 2017 #16 Pole kwa abiria