Nimesikia nchi ya Marekani imeiwekea vikwazo vya kichumi nchi ya Burundi sababu kwamba raisi wa nchi hiyo Bw.Nkurunzinza ameongezewa muda wa kutawala, mbona sasa hata Kagame amebadilisha Katiba ya nchi na kutaka kuendelea kutawala na hajawekewa vikwazo vya Kiuchumi?