Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,587 Reaction score 138,601 Jun 20, 2023 #21 DullyJr said: Uwasilishaji wako wa maoni unaoneaha dhahiri kuwa ni mtu mwenye mfadhaiko wa kimaono, View attachment 2663083 Click to expand... Hopeless!
DullyJr said: Uwasilishaji wako wa maoni unaoneaha dhahiri kuwa ni mtu mwenye mfadhaiko wa kimaono, View attachment 2663083 Click to expand... Hopeless!
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,587 Reaction score 138,601 Jun 20, 2023 #22 Inside10 said: Vipi mchezaji wa mechi mbili goli atakuwepo?! Click to expand... Hajaitwa kwenye hicho kikosi kutokana na utovu wake wa nidhamu.
Inside10 said: Vipi mchezaji wa mechi mbili goli atakuwepo?! Click to expand... Hajaitwa kwenye hicho kikosi kutokana na utovu wake wa nidhamu.
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,879 Jun 20, 2023 #23 Tate Mkuu said: Hopeless! Click to expand... HUNA AKILI.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,587 Reaction score 138,601 Jun 20, 2023 #24 DullyJr said: HUNA AKILI. Click to expand... Watu wenye msongo wa mawazo na pia matatizo ya afya ya akili mnaitumia jamii forums kama kichaka chenu vile cha matibabu kwa kutukana watu hovyo tu.
DullyJr said: HUNA AKILI. Click to expand... Watu wenye msongo wa mawazo na pia matatizo ya afya ya akili mnaitumia jamii forums kama kichaka chenu vile cha matibabu kwa kutukana watu hovyo tu.
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,982 Reaction score 6,408 Jun 20, 2023 #25 Inside10 said: Vipi mchezaji wa mechi mbili goli atakuwepo?! Click to expand... Timu yao wanaita vijana zaidi wenye msaada. Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Inside10 said: Vipi mchezaji wa mechi mbili goli atakuwepo?! Click to expand... Timu yao wanaita vijana zaidi wenye msaada. Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Pics JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 240 Reaction score 181 Jun 20, 2023 #26 SAYVILLE said: Dah Burundi wamechemka, wasingemuacha mfungaji bora wa NBC hata mimi ningekuja uwanjani kuona duel ya Saidoo na Shelulile. Click to expand... Wanajenga timu kwa ajili ya baadae,wastaafu hapana
SAYVILLE said: Dah Burundi wamechemka, wasingemuacha mfungaji bora wa NBC hata mimi ningekuja uwanjani kuona duel ya Saidoo na Shelulile. Click to expand... Wanajenga timu kwa ajili ya baadae,wastaafu hapana
KaNyEeAsT JF-Expert Member Joined Nov 26, 2021 Posts 343 Reaction score 722 Jun 20, 2023 #27 Naona Burundi Kashampiga Namibia 3 First Half