Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,471
Mkuu wewe inabidi uje uanzishe special thread ya harakati zako za mjini huwa nakuelewa sanaHuyu kambale amenikumbusha Jambazi moja sugu alikuwa anaitwa Ramadan ngonji!
Enzi za kova rpc alimpigaga wanted,
Ngoji alihukumiwa Miaka 8 jela ila alikaaga Ndani miezi 2 akatoka kimipango hku hukumu yke inaendelea..... Cha ajabu aliendelea kufanya uhalifu na wazee walikuwa Wanamtafuta
Ila Mimi nlikuwa na zali ya kukutana naye usiku mnene maana mm siku zote ni mtu wa nightmare
Ngonji alikuwa anatumiaga pikipiki kubwa 250
Kna siku nlikuwa narudi nko mtungi nakutana naye kwenye open space jirani na de mug hotel Kino...... Kalala juu ya pikipiki huku iko on inanguruma......akaniita Jina langu la mtaa(----) kuchek ngonji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa ndy mwanzilishi wa uwizi wa kutumia pikipiki..... Sema siku yke ilifika wazee walimuaa
Maana walimchokaga
Ova
Wanaume wa dar bure kabisa. Yaani kibaka anaeiba bodaboda na kukaba watu mnamuita jambazi.
Na mlikuwa mnamjua kabisa, mmesubiri mpaka mambosasa atie maguu ndie mje kushukuru hapa jf!
Hebu anzeni kupiga pushups mazee.
Mimi nimekuja haraka haraka nikadhani ni Brigedia Jenerali Chacha Marwa "Kambale"
wenzake wasikiapo ule wimbo wa PARAPANDAAaa wanajisemea wataachaaaa....baada ya wiki wanarejea mzigoni
Hongera Kaka, inaonekana hata mtaani kwako u maarufu piaHuyu kambale amenikumbusha Jambazi moja sugu alikuwa anaitwa Ramadan ngonji!
Enzi za kova rpc alimpigaga wanted,
Ngoji alihukumiwa Miaka 8 jela ila alikaaga Ndani miezi 2 akatoka kimipango hku hukumu yke inaendelea..... Cha ajabu aliendelea kufanya uhalifu na wazee walikuwa Wanamtafuta
Ila Mimi nlikuwa na zali ya kukutana naye usiku mnene maana mm siku zote ni mtu wa nightmare
Ngonji alikuwa anatumiaga pikipiki kubwa 250
Kna siku nlikuwa narudi nko mtungi nakutana naye kwenye open space jirani na de mug hotel Kino...... Kalala juu ya pikipiki huku iko on inanguruma......akaniita Jina langu la mtaa(----) kuchek ngonji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa ndy mwanzilishi wa uwizi wa kutumia pikipiki..... Sema siku yke ilifika wazee walimuaa
Maana walimchokaga
Ova
Dah rip ngonjiHuyu kambale amenikumbusha Jambazi moja sugu alikuwa anaitwa Ramadan ngonji!
Enzi za kova rpc alimpigaga wanted,
Ngoji alihukumiwa Miaka 8 jela ila alikaaga Ndani miezi 2 akatoka kimipango hku hukumu yke inaendelea..... Cha ajabu aliendelea kufanya uhalifu na wazee walikuwa Wanamtafuta
Ila Mimi nlikuwa na zali ya kukutana naye usiku mnene maana mm siku zote ni mtu wa nightmare
Ngonji alikuwa anatumiaga pikipiki kubwa 250
Kna siku nlikuwa narudi nko mtungi nakutana naye kwenye open space jirani na de mug hotel Kino...... Kalala juu ya pikipiki huku iko on inanguruma......akaniita Jina langu la mtaa(----) kuchek ngonji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa ndy mwanzilishi wa uwizi wa kutumia pikipiki..... Sema siku yke ilifika wazee walimuaa
Maana walimchokaga
Ova
Ila wMKUU WAKEKO KAMA SIO NA WANANCHI KUWACHOKA WANGEENDELEA NA SHIDA HIZIHIZITatizo jamaa wanakuwaga na TAG Ubavu, unamzabua mmoja crew yao inawasaka kimya kimya kila mmoja anakula kichapo kama sio kuumizwa vibaya af ukute huyo kambale alikuwa mtu wa Dojo kwa sana kama vijana wa keko ujue utaumia tu.
Hope akumnaniiiinooo NASIKIA ndioosifayake kama umenonaAlimpapasa jamaa yangu huyu mwamba..
Mshkaji anafika geto miguu haitulii ni km bd anakimbiaaa....
Ngoja nimwambiee km ni kweli ataruka maana alikua anamlaani kila siku
sio kwa mbio zilee....
alimgeuza jamaa yangu mandera road.....
MaCCM jadi yao ni wiziBORA KAMANDA KAFA KISHUJAA KULIKO KUKIMBIA UCHAGUZI KWIKWII HAWAJAMAA BHANA
Sasa si mngempasua tu au mlikuwa mnamgwaya?Kambale hana lolote bila silaha , ngumi hajui anachojua yeye ugomvi wa silaha , no vigumu kumkuta anatembea bila nyembe mfukoni.
Alikuwa anagombana na vijana wenzake.Sasa si mngempasua tu au mlikuwa mnamgwaya?
Duh siamini ila sasa nimejua kila.mjanja ana mjanja wake. Huyu jambazi katesa sana watu kaua sana madereva wa bodaboda za Mombasa.
Alikuwa akikamatwa anafikishwa polisi mnajua anaishia huko wiki inayofwata anatoka na kufanya mara mbili ya aliyofanya huko nyuma.
Pongezi kubwa Mh. Mambosasa na kikosi kazi chako. Nahisi wote waliokuwa naye sasa wataacha
Lala Kambale pumzika dunia ilishakuchoka.