S Street Disciple New Member Joined Jul 29, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Jul 29, 2012 #1 Mbunge Gani ndani ya Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayekuvutia kiutendaji na Hoja zake anazozitoa ndani ya Bunge?
Mbunge Gani ndani ya Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayekuvutia kiutendaji na Hoja zake anazozitoa ndani ya Bunge?
andishile JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 1,429 Reaction score 522 Jul 29, 2012 #2 Street Disciple said: Mbunge Gani ndani ya Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayekuvutia kiutendaji na Hoja zake anazozitoa ndani ya Bunge? Click to expand... hapo kwenye red ndio kasheshe!maana unaweza kudhani ni mtendaji kumbe moyoni ni mtegaji!yaani yuko kimtego zaidi kwa ajili ya maslahi binafsi!
Street Disciple said: Mbunge Gani ndani ya Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayekuvutia kiutendaji na Hoja zake anazozitoa ndani ya Bunge? Click to expand... hapo kwenye red ndio kasheshe!maana unaweza kudhani ni mtendaji kumbe moyoni ni mtegaji!yaani yuko kimtego zaidi kwa ajili ya maslahi binafsi!
zee la weza Senior Member Joined Feb 7, 2012 Posts 190 Reaction score 29 Jul 29, 2012 #3 Steven wasirs a.k.a Tyson