Bunge ni shaghalabagala kwasasa...


Kuna mambo mengi yanayoonyesha hali ni mbaya, kuna mengine mengi yanakuja muda mfupi unaokuja kwa sababu kwa ufupi serikali imechelewa sana kufanya marekebisho yanayotakiwa ili nchi itulie.
 
Kwa usawa huu, hata wezi wa mtaani watakosa vya kuiba. Hivi waliowapa kura pumbavu hawa! Wenzetu wana hali gani?
 
Sasa pesa zimeishaje wkt hata nusu mwaka hawajafika na bajeti wamepitisha juzi juzi kwa 100% kwa 100%?

Ukweli uliopo bajeti za serikali zimepitishwa kukiwa hakuna cash, kushuka thamani ya shillingi na kupanda gharama ya kila kitu nako kumewavuruga moja kwa moja. Tukumbuke ni ujinga wao wa kushindwa kujua kesho inakujaje ndio umefanya gharama kuwa kichaa kila mahala na kisha kurudi kuwaathiri tena wao wenyewe.
 
unadhani wanaathirika na nini hao. Wenzako uhakika wa maisha wanao. Kwanza wana mashamba makubwa, majumbe wamepangisha, na biashara kubwa kubwa zote zao.
 
unadhani wanaathirika na nini hao. Wenzako uhakika wa maisha wanao. Kwanza wana mashamba makubwa, majumbe wamepangisha, na biashara kubwa kubwa zote zao.

Wakubwa kama "Individuals" hawaathiriki maana hata pesa kwa sasa wameficha nje ya nchi hii, Serikali kama "Taasisi" inaathirika sana maana hizo pesa walizoficha nje ndio zingetakiwa ziwe hazina leo. Sasa sio siri tena kwamba Hazina hakuna hela na serikali inaonekana imekwama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…