JK+Makinda+Magamba= UselessMwana mama Makinda yuko kaziini kweli kweli.....no plan no job done....wait for the worst
Lazima kuna pressing issue na itakuwa ni issue ya pesa. Nahisi ofisi ya bunge haina fungu la kuendesha kikao kwa wiki mbili hivyo bado wanavutana na serikali waingize nini kwenye ratiba na nini waache.
Maadam membe wetu humu jf mkuu Said Yakub aliyekuwa BBC London sasa ni ofisa habari wa Bunge letu, hopeful atatujuza kinachoendelea bila kuathiri ahadi za usiri kwa watumishi wa umma, hivyo tutajua nini kimejiri.
Naomba niwaandae kabisa kisaikolojia, msije kushangaa mkisikia kikao ni mpaka Ijumaa tuu!.
Mwaka huu tutaona na kusikia mengi
ndugu yangu tofauti kati yao ilikwisha onekana tokea mapema sana,si unajua kigezo kilichotumika! Wahusika walilijua hili.hapo ndio utaona tofauti kati ya sitta na makinda.
Wataalamu walisema nchi iko kwenye auto pilot, hizi ni baadhi ya dalili ambazo chanzo chake ni urafiki, ujamaa, kulindana, mwenzetu, maslahi binafsi etc
Hili swala la kuwapeleka watu dodoma na kutofanya kazi waliyoitiwa, kikao kinaahirishwa saa tano asubuhi.....huu ni uzembe wa viongozi wa bunge.
Upuuzi kila mahali.