Kenya ni masikini wa rasilimali lakini matajiri wa mawazo, ndio maana wanaweza kutumia akili zao kusimamia vizuri hizo rasilimali kidogo walizonazo na hili ni mojawapo. Ndio maana Nabii mmoja Mungu alipotaka kumpa 'zawadi' aliomba hekima na sio mali!