G gogo la shamba JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 6,669 Reaction score 2,165 Sep 1, 2015 #1 Kama sijakosea nilimsikia Kikwete siku ya mwisho kuliutubia bunge alisema amehairisha kulivunja sasa nauliza litavunjwa lini? au limevunjika kimya kimya?
Kama sijakosea nilimsikia Kikwete siku ya mwisho kuliutubia bunge alisema amehairisha kulivunja sasa nauliza litavunjwa lini? au limevunjika kimya kimya?
L lustakij Member Joined Jul 7, 2015 Posts 19 Reaction score 3 Sep 1, 2015 #2 Kama sikosei alisema atalivunja tareh 20/08/2015... lakin haijulikani kama kalivunja au la...