assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Peleka mahakamani ushahidi wa hayo yote unayomtuhumu nayo Makonda vinginevyo tuache ushabiki kama tumeamua kufanya kazi za kujenga nchi.Bunge ndio sisi wananchi,tendeni haki kwa niaba yetu.
Undeni kamati teule kumchunguza bashite Na pia wanaomlinda.
hadidu Za rejea
kulidharau bunge
ushiriakiano wake Na wauza ngada ukoje?
uvamizi cloud media
kisha vyeti feki.
kwakuwa serikali imekwisha chukua upande hatuezi PT matokeo tofauti.
bunge lichukue jukum kwa niaba yetu.
km bashite akikutwa Na tatizo atumbuliwe, lakini km ni umbea Na uzushi asafishwe.
iundwe kamati huru.
cc Zito kabwe
cc John mnyika
cc Hussein bashe
cc msukuma
cc kingu
cc speaker.
umoja ni Nguvu utengano ni udhaifu.
unajua kazi ya bunge, it works on behalf of the peoplePeleka mahakamani ushahidi wa hayo yote unayomtuhumu nayo Makonda vinginevyo tuache ushabiki kama tumeamua kufanya kazi za kujenga nchi.
uliona wapi?Peleka mahakamani ushahidi wa hayo yote unayomtuhumu nayo Makonda vinginevyo tuache ushabiki kama tumeamua kufanya kazi za kujenga nchi.
jinga tu..bunge ndio linachagua wakuu wa mikoa? halafu kamati unapendekeza madalali wa wauza unga watupu.Bunge ndio sisi wananchi,tendeni haki kwa niaba yetu.
Undeni kamati teule kumchunguza bashite Na pia wanaomlinda.
hadidu Za rejea
kulidharau bunge
ushiriakiano wake Na wauza ngada ukoje?
uvamizi cloud media
kisha vyeti feki.
kwakuwa serikali imekwisha chukua upande hatuezi PT matokeo tofauti.
bunge lichukue jukum kwa niaba yetu.
km bashite akikutwa Na tatizo atumbuliwe, lakini km ni umbea Na uzushi asafishwe.
iundwe kamati huru.
cc Zito kabwe
cc John mnyika
cc Hussein bashe
cc msukuma
cc kingu
cc speaker.
umoja ni Nguvu utengano ni udhaifu.
Peleka mahakamani ushahidi wa hayo yote unayomtuhumu nayo Makonda vinginevyo tuache ushabiki kama tumeamua kufanya kazi za kujenga nchi.
mkuu umesema kweli, MTU anatuhuma nyingi ilibidi mkuu amsimamishe kazi apishe uchunguzi. nchi inavituko zaidi ya zecomedyBunge linatakiwa kusimama kidete hii ni dharau kubwa sana.
mkuu sijui kama unajielewa bunge ni oversight ya serikali, hii ndio watchdog akikosea mbwa anamngata anakaa kwenye mstari,km unatumbo la kuhara Bora kwanza ukaharishe ndio ushike simujinga tu..bunge ndio linachagua wakuu wa mikoa? halafu kamati unapendekeza madalali wa wauza unga watupu.
let us stand united we will win this battle#bashite out#"For this toothless and lots of fear parliamentry members"...
qui qui qui...haiwezekani./ muhimili umesha kanyangwa.
•NATHUBUTU KUSEMA HAKUNA MAANA TENA YA HUU MUHIMILI.
Hivi unajua kuwa majority ni sisiemu huko bungeni?? Viroba noma!Bunge ndio sisi wananchi,tendeni haki kwa niaba yetu.
Undeni kamati teule kumchunguza bashite Na pia wanaomlinda.
hadidu Za rejea
kulidharau bunge
ushiriakiano wake Na wauza ngada ukoje?
uvamizi cloud media
kisha vyeti feki.
kwakuwa serikali imekwisha chukua upande hatuezi PT matokeo tofauti.
bunge lichukue jukum kwa niaba yetu.
km bashite akikutwa Na tatizo atumbuliwe, lakini km ni umbea Na uzushi asafishwe.
iundwe kamati huru.
cc Zito kabwe
cc John mnyika
cc Hussein bashe
cc msukuma
cc kingu
cc speaker.
umoja ni Nguvu utengano ni udhaifu.
kazi mkuuHapa kazi tu
Makonda oyeeeeee
Ila waliokuwa against na baba bashite ni zaidi ya 80%Hivi unajua kuwa majority ni sisiemu huko bungeni?? Viroba noma!