Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,582
- 28,734
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli mkuu, kama Magufuli anataka kufanikiwa kwenye utawala wake, ni lazima akamate rungu la chama, vinginevyo atakwamishwa sana na hii midubwana iliyokamata chamaNadhani wakati umefika sasa Raisi Magufuli atakapokabidhiwa uenyekiti wa Chama afutilie mbali wafanyabiashara kuchukua nafasi za uongozi wa chama na kiwaengua kwenye mafasi za kugombea nafasi za udiwani na ubunge ili kutenga biashara na siasa. Mda wotewafanyabiashara wapatapo nafasi za uongozi wa umma ndo wanaitia nchi hasara kwakuwa mda wote hutafuta fursa za kibiashara na kuingiza serikali katika mikataba ya kiwanufaisha wao na hasara kwa taifa.
Bunge ni jipu kwa sababu input yake kubwa(CCM) ndilo jipu kuu.Katika nchi hii hakuna jipu lililoiva kama bunge bunge ni kirusi kwa nchi hii wao wanachojali ni kujiongezea mlo tuuu
kama vile, hata mimi hav noticed thatMbona hii habari ukiisoma between the lines kama imeandikwa na taasisi yenyewe kujisafisha? Wabunge wala rushwa washughulikiwe na EWURA nao watumbuliwe utajilipaje kwa dola?( if allegations are true)
Mkuu kwani na ww ni mmoja wa wabunge ktk hiyo kamati ya nishati na madini..!!??Mbona hii habari ukiisoma between the lines kama imeandikwa na taasisi yenyewe kujisafisha? Wabunge wala rushwa washughulikiwe na EWURA nao watumbuliwe utajilipaje kwa dola?( if allegations are true)
ccm ndo kiwanda cha mafisadi we ilikua uyajui hayo?kwa nini kila kukiwa na ishu ya ufisadi huwa inawahusu wabunge wa ccm tu kulikon?
Yaani kama saccos vileWalipata ubunge Kwa kununua sasa wanataka warejeshe, hii vita ya rushwa Ni ngumu sana....!
Lakini hili la Bashe na Zitto nalo ni kichekesho.....watuhumiwe wengine, wao wajiuzulu.....Walipata ubunge Kwa kununua sasa wanataka warejeshe, hii vita ya rushwa Ni ngumu sana....!
EWURA inapaswa kumlinda mteja na wakati huo huo kulilinda shirika hivyo sidhani kama EWURA watakuwa tayari kushusha bei ya umeme huku hali ya shirika ikiwa mbaya kufurahisha wanasiasa.
Adui mkubwa wa EWURA ni wafanyabiashara wa mafuta na wanasiasa wenye maslahi katika hii biashara au wale wanaoutumiwa na wafanyabiashara hawa kutaka kuikomoa EWURA kwasababu inawabana.
Ndo ujue iko shidakwa nini kila kukiwa na ishu ya ufisadi huwa inawahusu wabunge wa ccm tu kulikon?