karekwachuza JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 999 Reaction score 335 Feb 20, 2014 #1 Ccm acheni kushinikiza kuwa na serikali mbili.acheni maoni ya wananchi yafanyiwe kazi
S shingwengwe JF-Expert Member Joined Feb 3, 2014 Posts 1,152 Reaction score 125 Feb 20, 2014 #2 ccm ni sikio la kufa!
khaiki2015 Member Joined Jan 7, 2014 Posts 22 Reaction score 4 Feb 20, 2014 #3 Maamuzi ya wananchi yaheshimiwe bila hivyo kuna kazi ya kujakutia viraka katiba miaka michache ijayo
Eddo Sambai JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 2,412 Reaction score 1,928 Feb 20, 2014 #4 Ccm acheni kulazimisha katiba kutungiwa gizani, ruhusuni kilsa kitu kiwe wazi ili wenye nchi tuweze kushuhudia
Ccm acheni kulazimisha katiba kutungiwa gizani, ruhusuni kilsa kitu kiwe wazi ili wenye nchi tuweze kushuhudia