elia stephen JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 263 Reaction score 82 Mar 7, 2014 #1 Wawakilishi wa wananchi katika bunge la katiba mpya sidhani kama wanatambua kile kilichowapeleka pale.au wanataka siku ziendelee kuongezwa ili wapige dili zaidi?
Wawakilishi wa wananchi katika bunge la katiba mpya sidhani kama wanatambua kile kilichowapeleka pale.au wanataka siku ziendelee kuongezwa ili wapige dili zaidi?
Lady niece JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 953 Reaction score 414 Mar 7, 2014 #2 wewe unafikiri hii bongo bila dili utaishi lazima wafanye hivyo ili kujaza matumbo yao
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Mar 7, 2014 #3 Wabongo misumari viongozi nyundo Nalog off
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Mar 7, 2014 #4 mtaji huo.....