Bundi huyooooo

ama kweli bundi la magamba...bila shaka atakua Nape Nnauye huyu................
 
I heard someone saying bundi ni ndege mzuri sana coz ana tabia ya kuwa-alert watu juu ya mambo mabaya yanatarajiwa kutokea lakini kinyume chake yeye anaonekana ndio mchimvi na 'mpika vifo'! Ndugu huyu Anatetea hoja yake kwa kusema kwamba, wakati wa Tsunami kule indonesia, kabla ya mafuriko ndege na wanyama wali-sense kinachokuja na wote wakakimbilia maeneo ya juu(extra sensory perception?)! Ni uwezo huo huo(alopewa na mungu) anautumia bundi ku-sense baya linalotarajia kutokea!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…