Asiyesifia kwake ni mtumwa, huko BK kunakufaa wewe Bishanga na wenzako, mimi huko sikutaki kabisaa. Sitaki mambo ya shuntama na genda ugaluke, wanawake wenu ni washirikina mno na si waaminifu katika mapenzi. We umeona wapi demu anato.mbana na mtoto wa baba yake mdogo, mmekuwa wahindi? Khaaa!