Rutunga M JF-Expert Member Joined Mar 16, 2009 Posts 1,769 Reaction score 1,393 Aug 31, 2017 #1 Pole sana Bukoba,nasikia na nyinyi mnaitaji kusemewa na Makonda siyo? ---------- Bomoa hiyo iliyoyakumba baadhi ya majumba ya baiashara ikiwemo nyumba za kulala wageni, inasimamiwa na meneja wa TANROADS mkoani Kagera Mhandis Andrew Kasamwa, Picha zaidi na chanzo =>>BOMOA BOMOA YATIKISA BUKOBA MUDA HUU,NYUMBA ZILIOPO KATIKA BARABARAYA UGANDA – Toptalk News
Pole sana Bukoba,nasikia na nyinyi mnaitaji kusemewa na Makonda siyo? ---------- Bomoa hiyo iliyoyakumba baadhi ya majumba ya baiashara ikiwemo nyumba za kulala wageni, inasimamiwa na meneja wa TANROADS mkoani Kagera Mhandis Andrew Kasamwa, Picha zaidi na chanzo =>>BOMOA BOMOA YATIKISA BUKOBA MUDA HUU,NYUMBA ZILIOPO KATIKA BARABARAYA UGANDA – Toptalk News
Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,640 Aug 31, 2017 #2 bomoa bomoa nchi nzima Wakumbuke na kutoa fidia si kubomoa kwa kasi tu
charty JF-Expert Member Joined Oct 28, 2013 Posts 7,459 Reaction score 6,008 Aug 31, 2017 #3 Ohooo hakuna aliye salama kwenye bomoabomoa hii inayoendelea,usiombe upitiwe na hii bahati mbaya.