M mabungo Member Joined Oct 13, 2012 Posts 19 Reaction score 0 Jun 13, 2013 #1 Habari JF Members. Nimefuuatilia budget ya serekali iliyosomwa leo jioni nini maoni yako kuhusu budget hii? Naona kama inaenda kufanya maisha ya walalahoi kuzidi kuwa nguvu hasa ukizingatia kupanda kwa gharama za mafuta? Wewe unasemaje? Karibu.
Habari JF Members. Nimefuuatilia budget ya serekali iliyosomwa leo jioni nini maoni yako kuhusu budget hii? Naona kama inaenda kufanya maisha ya walalahoi kuzidi kuwa nguvu hasa ukizingatia kupanda kwa gharama za mafuta? Wewe unasemaje? Karibu.
Mshobaa JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 1,716 Reaction score 680 Jun 13, 2013 #2 Hii bajeti itakua mwiba sana kwa watu wenye kipato cha chini kwani zile sehemu za mahitaji muhimu ndiko walipobana ili kukidhi pato la taifa
Hii bajeti itakua mwiba sana kwa watu wenye kipato cha chini kwani zile sehemu za mahitaji muhimu ndiko walipobana ili kukidhi pato la taifa