Mimi ninahisi watu hawajaelewa hiyo statement. Kama wameweza kukuta ststue huko, wana maanisha lazima kutakuwa na aliyeichonga maana kwa jinsi ilivyo wala si ya kupelekwa. Kitendo cha kukuta imechongwa hapo kwenye mwamba ndiyo wanapohisi kuna intelligent ina exists pale...intelligent kwa maana ya viumbe