Bongoclever Senior Member Joined Jul 30, 2012 Posts 105 Reaction score 11 Mar 13, 2015 #1 habari? Kwa wale wanachuo wa vyuo vya ualimu vip kuhusu tetesi za kwenda B.T.P(Field)?
J John sky Member Joined Jun 2, 2014 Posts 34 Reaction score 1 Mar 13, 2015 #2 Yani rafiki angu hii serkali ipo kmya sana..bnafs sina tetes yoyte kuhs field,hawatoi tamko wakat mda umebaki finyu sana kumalza cozi,let us wait ndugu
Yani rafiki angu hii serkali ipo kmya sana..bnafs sina tetes yoyte kuhs field,hawatoi tamko wakat mda umebaki finyu sana kumalza cozi,let us wait ndugu
Masumbuko r bilali Senior Member Joined Dec 27, 2012 Posts 158 Reaction score 35 Mar 13, 2015 #3 mwaka wa pili btp ya nini unang'ang'ania muda umeisha pepa mwezi wa tano.
J John sky Member Joined Jun 2, 2014 Posts 34 Reaction score 1 Mar 13, 2015 #4 Masumbuko r bilali said: mwaka wa pili btp ya nini unang'ang'ania muda umeisha pepa mwezi wa tano. Click to expand... Acha kuweka defence mechanism wewe mwenyew unaihtaj hyo btp!
Masumbuko r bilali said: mwaka wa pili btp ya nini unang'ang'ania muda umeisha pepa mwezi wa tano. Click to expand... Acha kuweka defence mechanism wewe mwenyew unaihtaj hyo btp!
M mbwa mzee Senior Member Joined Jan 13, 2015 Posts 126 Reaction score 9 Mar 13, 2015 #5 BTP ni kwa certficate na diplama ila sisi waheshimiwa tunaita TP (teaching practce ) kwa walioshindwa mambo yan diploma wanaongeza ka B
BTP ni kwa certficate na diplama ila sisi waheshimiwa tunaita TP (teaching practce ) kwa walioshindwa mambo yan diploma wanaongeza ka B
malamsha shao JF-Expert Member Joined Sep 23, 2012 Posts 228 Reaction score 95 Mar 13, 2015 #6 hakuna cha uheshimiwa mshahara wenyewe ndo huu?God forbids
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,214 Mar 13, 2015 #7 mbwa mzee said: BTP ni kwa certficate na diplama ila sisi waheshimiwa tunaita TP (teaching practce ) kwa walioshindwa mambo yan diploma wanaongeza ka B Click to expand... Lugha yako ina majivuno. Kama hujui kitu uliza.
mbwa mzee said: BTP ni kwa certficate na diplama ila sisi waheshimiwa tunaita TP (teaching practce ) kwa walioshindwa mambo yan diploma wanaongeza ka B Click to expand... Lugha yako ina majivuno. Kama hujui kitu uliza.
F FreedomTZ JF-Expert Member Joined Jul 18, 2012 Posts 1,104 Reaction score 251 Mar 14, 2015 #8 Safi Kinana anafanya kazi nzuri