Ukibatika kumaliza miaka yako mitano (kama mama Pereka hajakudisco) unaishia kuajiriwa Halimashauri, unapewa pikipiki, sindano na dawa za chanjo za mifugo, liquid nitrogen tank pamoja na stored semen, halafu kazi yako inakuwa ni kuzunguka vijijini kuwatomb.. ng'ombe kwa mikono in what the call Artificial Insermination. Na kila mara madiwani wanakukalia kooni.