Sipingani na mawazo yenu yote ila kama ni mtu unaewaza kwa undani kuna shida kubwa sana katika elinu ya chuo kuanzia mwaka huu ambapo hata div. 2 haina soko katika ubora wa elimu. Kizazi hiki kilichoongoza kufaulisha kidato cha sita ndio kitakachoongoza kusap na kudisco huko vyuoni. Kuna historia itawekwa na hiki kizazi cha kikwete. Naona hata ukibisha kwa sasa subiri uingie chuoni.