Usiongee k2 bila kufanya uchunguz ww kilaza ckia ww fungua poct za udsm kama una laptop najua hauna ndo mana hujui knachoendelea nenda cafe kaaangalie ndo uje kutoa hoja hapa
Kaazi kweli kweli,hii nchi kujikwamua katika umaskini bado sana,
na haya ndiyo mawazo ya vijana wanaotarajiwa kuijenga nchi yetu Tanzania!inasikitisha sana..
Hii ni baada ya watu wengi wenye div 4 ya point 14 kufurika katika course hiyo,ukianzia mtu wa kumi na saba kwenye coz hiyo hadi mtu wa 22,wote wana div 4.