kwa ufupi tu,hakuna food science aliyeko mtaan km kozi zingine
Quality assurance officer and managers katika makampuni makubwa ya vyakula na vinywaji hapa tanzania wajamaa ndo wanashikilia usukani,wakija na watu wa microbiology,na chemistry kutoka UDSMSi hivyo tu, hawalipwi hela ya manati - walio wengi wako vizuri sana.
Acheni kudanganya watu nyie Demu wangu yuko mtaa since 2013 kamaliza iyo course sua
Acheni kudanganya watu nyie Demu wangu yuko mtaa since 2013 kamaliza iyo course sua
hii course wanazngatia vgez VP kwan?Hizi course huwa ni tamu sana kujiajiri,
Imagine watu wanavyosota mtaani vyakula kutoka mashambani vinavyoharibika
Halafu wewe uwe msaada kwao kwa kuyaongezea thamani na shelf life
TCU student guidline itakusaidiahii course wanazngatia vgez VP kwan?
Unachukuliwa but ina competition kidogo maana kama mwaka jana watu wa PCB walikua wanahaha kwahiyo CBG ushindani mkubwa na kwa mwaka huu huwezi jua itakuaje pia.Vp kwa form six CBG anaweza kuchukuliwa akiwa na C ya bios na D ya chemistry